GET /api/v0.1/hansard/entries/885460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 885460,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885460/?format=api",
"text_counter": 466,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Shukrani Bi. Spika wa Muda. Ni jambo la aibu sana kwa nchi yetu ya Kenya na Serikali ya Kenya, kwamba, leo Mkenya anaweza kufa kwa sababu ya baa la njaa. Taifa la Israeli linaweza kuenda mahali popote katika ulimwengu kuona ya kwamba, yule mwnanchi wa Israeli ambaye anapata shida ya aina yeyote, mojawapo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}