GET /api/v0.1/hansard/entries/885463/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 885463,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885463/?format=api",
    "text_counter": 469,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherargei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Mheshimiwa Bi. Spika wa Muda. Ndugu yangu Sen. Madzayo amesema ya kwamba Serikali haijaanza kushughulikia haya makali ya njaa, ilhali Serikali jana, kupitia Naibu wa Rais, ilitoa mikakati ya kushughulikia kupunguza makali ya njaa. Itakukwa ni kweli kwa Sen. Madzayo kusema kuwa Serikali haifanyi jambo lolote?"
}