GET /api/v0.1/hansard/entries/885471/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 885471,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885471/?format=api",
    "text_counter": 477,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Malalah",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13195,
        "legal_name": "Cleophas Wakhungu Malalah",
        "slug": "cleophas-wakhungu-malalah-2"
    },
    "content": "Bi.Spika wa Muda, ulipeana mwelekeo kwamba kila kiongozi atapewa dakika tano. Kwa hivyo, sio vizuri Sen. Madzayo kupata hoja ya nidhamu ambayo inachukua dakika zake mbili au tatu. Kama Naibu Kiongozi wa Waliowachache, naomba umpe Sen. Madzayo muda mrefu kidogo kwa sababu Sen. Cherargei----"
}