GET /api/v0.1/hansard/entries/885473/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 885473,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885473/?format=api",
    "text_counter": 479,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante ndugu yangu Sen. Malalah kwa kuwa wakili wangu. Umenisaidia sana. Wafisadi walioshiliki katika mradi wa Galana-Kulanu ndio wamefanya Kilifi Kaunti iwe na njaa. Hao ndio wamepeleka ufisadi katika Kaunti za Turkana na Baringo na hatimaye watu wamepoteza maisha. Kwa hivyo, mimi namuunga mkono ndugu yangu, Sen. Wetangula, kwa kuleta taarifa kama hii Bungeni. Namshukuru sana."
}