GET /api/v0.1/hansard/entries/885502/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 885502,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885502/?format=api",
    "text_counter": 508,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, hili ni jambo la kuvunja moyo kwa sababu katika nchi yetu ya Kenya, kama vile Mwenyekiti wa Kamati ya Ukulima, Mifugo na Samaki alivyonena, kuna sehemu zinazoendeleza ukulima na wakulima hupata mavuno tele. Ni kweli kwamba kuna shida katika maeneo ya Turkana na Baringo na ni aibu kuona watu wakifa kulingana na picha kunazotumiwa. Sen. (Prof.) Ongeri atakueleza kwamba kabla mtu hajafa kwa kukosa chakula, mafuta ya mwili huwa yanatumika. Baada ya mafuta kutumika huwa ni nyama na hatimaye mifupa. Baada ya mifupa kutumika akili hutumika ndio maana unamwna mtu ni kama amepagawa."
}