GET /api/v0.1/hansard/entries/885504/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 885504,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885504/?format=api",
"text_counter": 510,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Mimi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ugatuzi na Mahusiano ya Kiserikali, nafaa kumwita Waziri anayehusika kwa sababu tumemwona akijihusisha na ugavi wa chakula. Anafaa kuja hapa ili atuelezee kinaga ubaga nini amefanya kwa sababu watu wanaendelea kudhoofika na kusononeka kutokana na ukosefu wa chakula licha ya kwamba kuna sehemu zingine za Kenya ambapo watu wana chakula lakini Serikali hainunui. Maana ya serikali katika nchi ni kuhakikisha kuwa watu wake wanapata lishe The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}