GET /api/v0.1/hansard/entries/885506/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 885506,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/885506/?format=api",
    "text_counter": 512,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Kule kwetu Laikipia, kuna athari za janga hili lakini sisi tuko ngangari. Hata hivyo, kila mtu anapaswa kujitolea. Ikiwa serikali imeshindwa, basi tunafaa kuambiwa ili tufanye kama ilivyofanywa wakati fulani wakenya walipojitolea kuwapa msaada wenzao. Mpango huo ulijulikana kama Kenyans for Kenya ."
}