GET /api/v0.1/hansard/entries/886056/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 886056,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/886056/?format=api",
    "text_counter": 182,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Nimesimama kuambatana na Kifungu 47(1) za Kanuni za Bunge la Seneti kutoa taarifa hii kuhusu hali ya uchumi wa Kaunti ya Mombasa na Kaunti njirani za Kilifi, Kwale, Taita Taveta, Makueni, Kajiado na Machakos. Bi. Spika wa Muda, kaunti hizi ziko katika Ukanda wa Kasakazini au Northern Corridor ya barabara ya Afrika. Ukanda huu unaanzia katika Bandari ya Mombasa na kuelekea mpaka Nairobi, Kampala, Kigali, Bujumbura, Goma na Juba katika nchi jirani ya Congo na Sudan Kusini mtawalia. Kwa hivyo, ukanda huu ni muhimu kwa biashara na makazi ya watu."
}