GET /api/v0.1/hansard/entries/886068/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 886068,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/886068/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bi. Spika wa Muda, napekendeza kwamba suala hili lipewe kipaumbele, kwa sababu mapato ya Kaunti ya Mombasa yakipungua, ina maaana kwamba huduma kwa wakaazi wa Mombasa zitapungua, na lengo la kuleta ugatuzi kuleta maendeleo katika maeneo tofauti tofauti halitatimia. Naiomba Kamati ya Fedha na Bajeti na Kamati ya Ugatuzi, zichunguze suala hili kwa kindani kabisa kuona kwamba hatua mwafaka zinachukuliwa kuikoa Mombasa. Tusisubiri mpaka mji ufe ndio tulete mitambo ya kufufua na kuchunguza ilikufa vipi. Asante Bi. Spika wa Muda, kwa fursa hii."
}