GET /api/v0.1/hansard/entries/88813/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 88813,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/88813/?format=api",
"text_counter": 585,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Gaichuhie",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 17,
"legal_name": "Nelson Ributhi Gaichuhie",
"slug": "nelson-gaichuhie"
},
"content": "Nakushukuru, Bw. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii kuunga mkono Hoja hii ya kwenda likizo. Huu ni wakati ambapo tumetoka kampeni zetu za Katiba mpya, na tena tumeipitisha Katiba hii. Tumefurahi kwa sababu baada ya kampeni tuliipitisha Katiba. Ningeuliza Serikali iendelee kutilia maanani Katiba, na pia Wakenya wajue kuwa sasa tuna county na tunastahili kuona county zetu zikiendelea vizuri. Ningetaka pia Serikali ijue kuwa tumepata matokeo ya hesabu ya watu. Kwa hivyo, ningetaka pia Serikali ijue kuwa Wakenya wengi wanavumilia kuwa Wakenya. Tungetaka Serikali itende usawa, na tusiwe na wachache ambao wanajivunia kuwa Wakenya na wengi wanaovumilia kuwa Wakenya. Asante."
}