GET /api/v0.1/hansard/entries/891925/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 891925,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/891925/?format=api",
"text_counter": 996,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Bunge la Kenya kazi yake ni kutengeneza sheria. Hivyo basi, huu upwagu na upwaguzi ni lazima uwachwe ili tuweze kusongeza mambo mbele. Masuala ya ardhi haswa hapa nchini ni maswala yenye kuchukuliwa na kuleta hisia mbalimabli, na hisia hizo zimewafanya watu wengi Wakenya kuumizana kwa sababu ya masuala haya. Kwa hivyo, kwenye mipangilio ya ardhi zetu, hatutaki utani. Asante sana."
}