GET /api/v0.1/hansard/entries/892278/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 892278,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/892278/?format=api",
"text_counter": 185,
"type": "speech",
"speaker_name": "Turkana Central, ODM",
"speaker_title": "Hon. Lodepe Nakara",
"speaker": {
"id": 2926,
"legal_name": "John Lodepe Nakara",
"slug": "john-lodepe-nakara"
},
"content": "Mhe. Naibu wa Spika wa Muda, serikali ya ugatuzi imefanya kazi iwe rahisi kwa sababu imeajiri wawakilishi wa wadi. Kuna wawakilishi wa wadi na hiyo imefanya serikali ya kaunti kuhudumia wananchi. Nina mfano mzuri katika kaunti ya Turkana ambayo imeajiri mwakilishi wa wadi ambaye ni ward administrator . Sasa hivi, County assembly imepitisha sheria…"
}