GET /api/v0.1/hansard/entries/892338/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 892338,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/892338/?format=api",
"text_counter": 245,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matungu, ANC",
"speaker_title": "Hon. Justus Makokha",
"speaker": {
"id": 13430,
"legal_name": "Justus Murunga Makokha",
"slug": "justus-murunga-makokha-2"
},
"content": " Shukrani, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ili pia nami niongeze sauti yangu kwa huu mjadala. Hawa wazee wa kijiji ni wananchi wema kwa sababu wanafanya kazi nzuri. Wao ndio husaidia nchi kupokea habari za jambo lolote linapotokea katika eneo lolote nchini. Hili ni jambo ambalo lingefanywa kitambo. Ni wazee ambao hujitolea; hutoka majumbani mwao mapema na kurudi usiku."
}