GET /api/v0.1/hansard/entries/892344/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 892344,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/892344/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matungu, ANC",
"speaker_title": "Hon. Justus Makokha",
"speaker": {
"id": 13430,
"legal_name": "Justus Murunga Makokha",
"slug": "justus-murunga-makokha-2"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Unavyofahamu, hawa ni watu ambao wana familia. Wakitoka kufanya kazi hizi, wako na majukumu ya kulea familia zao. Wako na watoto ambao wanaenda shule na vile vile wana mahitaji. Kwa hivyo, ni vema sisi kama viongozi tuwasaidie ili waweze kujisikia kama Wakenya wengine. Ni vigumu kuwa katika viatu vyao. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}