GET /api/v0.1/hansard/entries/892345/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 892345,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/892345/?format=api",
"text_counter": 252,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matungu, ANC",
"speaker_title": "Hon. Justus Makokha",
"speaker": {
"id": 13430,
"legal_name": "Justus Murunga Makokha",
"slug": "justus-murunga-makokha-2"
},
"content": "Kwa mfano, ukitoka kwa nyumba kwenda kujenga nchi na unaporudi nyumbani uwe huna hata mkate uliobebea wanao, hilo ni jambo baya. Ni vema sisi kama Bunge tulichukulie hili jambo kuwa la dharura na kuhakikisha kuwa hawa wazee tunawasaidia ili waweze kupata mshahara kama wafanyikazi wengine nchini. Kwa hayo machache, naunga mkono hoja hii."
}