GET /api/v0.1/hansard/entries/892365/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 892365,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/892365/?format=api",
"text_counter": 272,
"type": "speech",
"speaker_name": "Baringo South, JP",
"speaker_title": "Hon. Charles Kamuren",
"speaker": {
"id": 1202,
"legal_name": "Charles Kamuren",
"slug": "charles-kamuren"
},
"content": "Vile vile, inafaa maslahi yao yaangaliwe. Wanapokuwa wagonjwa, inafaa Serikali iwatibu kupitia NHIF. Wanapopata shida, inafaa wao pia wasaidiwe. Kwa hivyo, ni vyema Serikali iangalie mambo hayo ndiyo nao wapate kusaidia jamii zao na wapate mishahara kama watu wengine kwa saabau wanafanya kazi nzuri. Ukiangalia kwa makini, wao ndio wanastahili wawe na pesa ili wasaidie jamii zao."
}