GET /api/v0.1/hansard/entries/892366/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 892366,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/892366/?format=api",
"text_counter": 273,
"type": "speech",
"speaker_name": "Baringo South, JP",
"speaker_title": "Hon. Charles Kamuren",
"speaker": {
"id": 1202,
"legal_name": "Charles Kamuren",
"slug": "charles-kamuren"
},
"content": "Tunapotenga pesa za kuwasaidia watoto wa shule, wao pia huhangaika sana na hao watoto. Imefika wakati wao pia wasaidike na wakae kama viongozi. Kwa sababu hiyo ndiyo sura ya Serikali. Kwa hivyo, naiunga Hoja hii mkono ndiyo wao pia wapewe mshahara."
}