GET /api/v0.1/hansard/entries/892376/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 892376,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/892376/?format=api",
"text_counter": 283,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, ODM",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Dennitah Ghati",
"speaker": {
"id": 856,
"legal_name": "Dennitah Ghati",
"slug": "dennitah-ghati"
},
"content": "Leo nimefurahi kwa sababu tunapatia kipao mbele watu ambao kwa muda mrefu hawajashughulikiwa Huwa hatupati nafasi ya kuongea kuhusu watu walio huko chini. Katika kaunti zetu gavana huwa na structure yake ya ward administrator na sub-county administrator lakini wale wako huko chini huwa hawashughulikiwe na kaunti. Kwa hivyo, Hoja hii ni muhimu kwa sababu itahakikisha kwamba Serikali kuu itaweza kuwapatia village elders, wazee na wamama…"
}