GET /api/v0.1/hansard/entries/893338/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 893338,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/893338/?format=api",
"text_counter": 45,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "mwingi. Hasa wakati huu ambao kuna kiangazi, itakuwa vizuri tukishughulikia bwawa hilo. Hiyo itahakikisha kwamba wakati mvua itakapokuja wakaazi wa sehemu ile watapata maji. Sio sehemu hiyo tuu inayohitaji maji. Ukitembea sehemu za Laikipia na sehemu zingine nchini, kuna shida ya maji. Wakati wa kiangazi kuna shida nyingi na wafugaji wa kuhama hama hutegemea yale mabwawa kuwapa mifugo yao maji. Kwa hivyo, sio bwawa hilo pekee ambalo lafaa kushughulikiwa bali hata mabwawa madogo madogo yanafaa kutengenezwa katika sehemu zingine za nchi ya Kenya. Asante sana, Bw. Spika."
}