GET /api/v0.1/hansard/entries/894980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 894980,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/894980/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Arifa ya Sen. (Dr.) Milgo kuhusiana na maswala ya watu kujitoa roho kwa sababu ya matatizo ya maisha. Hili ni jambo la kusikitisha kwa sababu tunaona ya kwamba Wakenya wengi wanaendelea kupoteza maisha kwa sababu ya taabu za kidunia ambazo zinawakumba."
}