GET /api/v0.1/hansard/entries/894981/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 894981,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/894981/?format=api",
    "text_counter": 188,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Serikali inafaa kuangalia kwa makini chanzo cha watu kujiua kwa sababu wengi wanaojiua ni watu ambao wana akili timamu. Ni jambo la kusikitisha kwamba tunapoteza watu katika hali kama hizo. Tunafaa tuangalie kama miundo msingi ya nchi yetu The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}