GET /api/v0.1/hansard/entries/895128/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895128,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895128/?format=api",
"text_counter": 335,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, ningependa pia kumpongeza Rais kwa hakikisho lake kwamba ataunga mkono ugatuzi. Ugatuzi ndiyo jambo kubwa ambalo lililetwa na Katiba ya mwaka wa 2010. Mpaka sasa alithibitisha ya kwamba karibu trillioni moja na billioni mia saba zimeweza kutumika katika Kaunti zetu, ambazo zimeleta maendeleo tofauti tofauti."
}