GET /api/v0.1/hansard/entries/895129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 895129,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895129/?format=api",
    "text_counter": 336,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Ukiangalia sura ya nchi, inabadilika kila sehemu kwa sababu ya ugatuzi. Ijapokuwa kuna changamoto nyingi katika kutekeleza ugatuzi, pesa zile zimeweza kuleta tofauti kubwa na vile mambo yalivyokuwa wakati wa nyuma. Kwa hivyo, hakikisho la Rais kwamba ataendelea kuunga mkono ugatuzi, limekuja katika wakati mwafaka."
}