GET /api/v0.1/hansard/entries/895134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 895134,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895134/?format=api",
    "text_counter": 341,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Mhe. Rais alisema kuwa Mawaziri wanane na Principal Secretaries wanane waliweza kuwachishwa kazi au kuamrishwa wajiondoe katika mamlaka. Hata hivyo, hayo ni mambo ambayo yalifanyika mda mrefu uliopita na hatujaona matokeo yoyote katika vita dhidi ya ufisadi."
}