GET /api/v0.1/hansard/entries/895135/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 895135,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895135/?format=api",
    "text_counter": 342,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, nilitarajia Rais asizitize pesa zaidi ziongezwe katika idara ya mahakama ili tuweze kuanzisha mahakama nyingi zaidi ambazo zitaweza kusaidia kupambana na kesi za ufisadi. Kwa sasa inachukua zaidi ya miaka miwili kukamilisha kesi moja ya ufisadi. Iwapo mahakama zitaongezewa pesa, ina maana kwamba wataweza kuajiri mahakimu na makarani zaidi. Pia wataweza kuongeza ujenzi wa mahakama ili kesi ziweze kwenda kwa haraka."
}