GET /api/v0.1/hansard/entries/895142/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895142,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895142/?format=api",
"text_counter": 349,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "zitafanyiwa Naivasha. Sisi tunajivunia kwamba Bandari ndio rasilimali yetu kubwa. Iwapo utendakazi wa Bandari utaondolewa kutoka mjini Mombasa mpaka Naivasha, ina maana kwamba raslimali ile haitatufaa sisi. Hiyo ina maana kwamba Mji wa Mombasa uko katika hatari kubwa ya kufa katika siku zinafuata."
}