GET /api/v0.1/hansard/entries/895144/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895144,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895144/?format=api",
"text_counter": 351,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa kumalizia, Bw. Spika wa Muda, tumeona kwamba katika maeneo mengine, Serikali imeanzisha miradi mikubwa kama vile ya kujenga mabwawa. Katika Kaunti ya Mombasa, maji bado ni changa moto kwa sababu hatuna mradi mwingine wa maji isipokuwa Mzima. Ijapokuwa mradi huu ulijengwa katika miaka ya 40 na kuwekwa Mzima One, Mzima Two na Mzima Three lakini mpaka leo, miaka 55 ya Uhuru, hatujajenga lakini nyingine ya Mzima Two kutoka Mzima Springs hadi Kaunti ya Mombasa. Kila mwaka, shirika la World Bank linatoa pesa za kufanya utafiti yaani"
}