GET /api/v0.1/hansard/entries/895146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895146,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895146/?format=api",
"text_counter": 353,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "wa kujenga laini nyingine lakini mpaka sasa, haijafanyika. Kwa hivyo, lazima tutafute njia za kujenga gatuzi za pwani. Matatizo mengi tunayopata kama changa moto za kiusalama, madawa ya kulevya, itikadi kali na ugaidi zote zinatokana na vijana kukosa kazi za kufanya katika Kaunti ya Mombasa. Tunaangalia kutoka Lamu hadi Lunga Lunga ambao ni ufuo wa bahari, tumetajiwa hapa kwamba mwaka jana tulikuwa na mkutano mkubwa wa mambo ya Blue Economy . Mpaka leo, hatujaona matunda ya mikutano kama hiyo."
}