GET /api/v0.1/hansard/entries/895147/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895147,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895147/?format=api",
"text_counter": 354,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Katika eneo la bahari, kuna miradi mingi ambayo inaweza kufanyika ili kuhakikisha wananchi wanapata ruzuku na biashara ili kuhakikisha kwamba wanajenga nchi yao. Kwa sasa, tunaagiza samaki kutoka China wakati tuko na ufua mkubwa wa bahari ambao unaweza kutupa samaki wa kutosha ili wananchi wasife njaa na wasaidie katika sehemu zingine."
}