GET /api/v0.1/hansard/entries/895150/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 895150,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895150/?format=api",
    "text_counter": 357,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kwa hivyo tunaiomba Serikali ifanye juhudi kubwa ili kuinua uchumi kwa sababu katika eneo la Pwani, Kwale ina uwezo wa kulisha Pwani nzima kwa jumla. Tana River na Kilifi pia zina uwezo mkubwa wa kuweza kulisha Pwani lakini utapata kwamba hivi sasa wanajitahidi ili waweze kuzuia baa la njaa ambalo limezuka kutokana na kuchelewa kwa mvua."
}