GET /api/v0.1/hansard/entries/895151/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 895151,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895151/?format=api",
    "text_counter": 358,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Hotuba ya Rais ilikuwa na mambo mengine mazuri na mengine mabaya ambayo tungependa Serikali irekebishe. Tunaona ya kwamba iwapo hatutakuwa makini tutapata matatizo makubwa siku za usoni kwa sababu wale wote ambao wanakosa nafasi za kazi, na wanaoathirika na madawa ya kulevya katika miji yetu kule Mombasa na kwingineko, watakosa nafasi ya kujiendeleza kimaisha."
}