GET /api/v0.1/hansard/entries/895270/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 895270,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895270/?format=api",
    "text_counter": 113,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Ahsante Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipa fursa hii ili niwakaribishe wanafunzi kutoka shule ya msingi ya Kenya Navy Mtongwe, Mombasa. Ni furaha kupokea wageni kama hao kutoka Mombasa na ninatumaini ya kwamba wataweza kujifunza mengi ambayo yanafanyika hapa, haswa katika Bunge la Seneti. Nachukua fursa hii kuwakaribisha. Karibuni tena."
}