GET /api/v0.1/hansard/entries/895522/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895522,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895522/?format=api",
"text_counter": 40,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Kwa hivyo, mimi naunga sana ombi hili ambalo liletwa na Mhe. Mwaruma hapa na ile Kamati ambayo itakayohusika kuchunguza jambo hili, iweze kufanya hili jambo kwa haraka sana ili wananchi ambao wameathiriwa walipwe haki yao."
}