GET /api/v0.1/hansard/entries/895523/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895523,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895523/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Sisi kama majirani wa Taita-Taveta na Kwale, tunaunga mkono sana ombi hili ambalo limeletwa na Mhe. Mwaruma. Kwa hivyo, tuntaka kamati hii iende, sio kwamba izungumzie, waende wenyewe mpaka kwa watu hawa na kuchunguza idadi yao na ardhi zao ambazo wamepeana kwa Serikali ili walipwe haki na fidia yao."
}