GET /api/v0.1/hansard/entries/895534/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 895534,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895534/?format=api",
    "text_counter": 52,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Petition iliyoletwa na ndugu yangu Sen. Mwaruma anayewakilisha Taita-Taveta. Swala la watu kulipwa fidia kutokana na matumizi ya ardhi zao limekuwa donda sugu. Serikali inajizatiti kuhakikisha kwamba kuna maendeleo. Licha ya hayo, maafisa wengi wa theNLC wamekuwa watepetevu katika kulipa fidia kwa watu ambao ardhi zao zinachukuliwa."
}