GET /api/v0.1/hansard/entries/895535/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895535,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895535/?format=api",
"text_counter": 53,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Hivi majuzi, Kamati ya Uchukuzi ilikuwa na kikao hapa Nairobi. Kuna watu ambao hawajalipwa fidia miaka minne baada ya aliyepewa kandarasi kuanza kutengeneza barabara. Wale wote ambao ardhi yao ilichukuliwa hawajalipwa chochote mpaka sasa na hawajui watalipwa pesa ngapi."
}