GET /api/v0.1/hansard/entries/895538/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895538,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895538/?format=api",
"text_counter": 56,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Watu wengi wanaotakikana kulipwa ni walalahoi. Wanalazimishwa kungojea fidia yao wakati watu wengine Serikalini wanakula pesa na kufanya maombi jinsi wanavyotaka. Kwa hivyo, Mawaziri hao wawili wanafaa kuitwa ili kueleza kwa nini watu hawajalipwa wakati barabara inaendelea kutengezwa."
}