GET /api/v0.1/hansard/entries/895624/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895624,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895624/?format=api",
"text_counter": 142,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante Bi. Spika wa Muda. Ningependa kuchukua nafasi hii kuunga mkono Seneta wa Isiolo. Maisha ya mfugaji yanafaa kulindwa. Watu wakiona ardhi kubwa ambayo iko na nyasi, huwa wanafikiri haina watu. Kwa mfano, wanajeshi wanata kukaa katika sehemu ya Isiolo ilhali ardhi hiyo niya kulisha mifugo. Bi. Spika wa Muda, huu ni wakati mgumu sana kwa jamii ya wafugaji. Hii ni kwa sababu msimu wa kiangazi umekuwa mrefu zaidi na mvua imechelewa. Shida wanayopata imewatosha. Kwa hivyo, sehemu yao yamalisho ikichukuliwa na wanajeshi itakuwa ngumu sana kwao. Katika Kaunti yangu ya Tana River kuna shida ya malisho. Watu wa Kenya"
}