GET /api/v0.1/hansard/entries/895626/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 895626,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895626/?format=api",
    "text_counter": 144,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "wanasumbua watu wangu. Wakati mwingine wanawaua wanapolisha mifugo wao. Hivi majuzi, tuliona kwa magazeti watu waliouawa. Wanajeshi pamoja na KWS wanasumbua jamii ya wafugaji sana. Kwa hivyo, ninaunga mkono kwamba jamii ya wafugaji wasisusumbuliwe. Wanafaa kupewa nafasi ya kulisha mifugo wao, waweze kuwatafutia maji na malisho."
}