GET /api/v0.1/hansard/entries/895644/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895644,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895644/?format=api",
"text_counter": 162,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Hali kadhalika kule Taita-Taveta, Kenya Prisons Service imechukua ekari 1,000; wakisema kuwa wanataka kujenga geraza upande wa Bura. Lakini tayari kuna magereza ya kutosha kule Taita-Taveta; kwa mfano, kuna gereza Voi, Manyani na Wundanyi. Kwa hivyo, wanataka kujenga gereza lingine la nini? Kuna magereza ya kutosha na watu wa kule wanapenda amani. Shirika la Wanyama Pori pia limechukua shamba kubwa sana kutoka Bachuma hadi Mbololo, lenye urefu wa kilomita 9 kutoka kwa reli. Kwa hivyo, kamati itakayoshughulikia---"
}