GET /api/v0.1/hansard/entries/895756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 895756,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895756/?format=api",
"text_counter": 274,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa muda, sijui kama umesikia alivyosema dadangu, Sen. (Dr.) Musuruve. Amesema ya kwamba ataendelea kuongea mambo ya walemavu mpaka mwisho wa hii Seneti. Ninauliza, ni haki yeye kutabiri mwisho fulani wa hii Seneti ama yalikuwa mazungumuzo aina gani? Anaweza kutueleza vizuri?"
}