GET /api/v0.1/hansard/entries/895782/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 895782,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/895782/?format=api",
    "text_counter": 300,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kitu cha muhimu nataka kusisitiza ni kwamba Rais asirudi nyuma; asijaribu kurudi nyuma katika mambo haya ya kutengeza daraja ambayo Wakenya wataendelea kupendana. Pia, tunataka kumshukuru haswa Baba Raila Amolo Odinga, ambaye alijitolea mhanga, ijapokuwa alikuwa ameshinda lakini wakatangaza kwamba alishindwa. Mambo mengine yalitokea lakini, yali isha baadaye, yako nyuma yetu. Tuna angalia mbele, hatutaangalia nyuma. Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo."
}