GET /api/v0.1/hansard/entries/896333/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 896333,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896333/?format=api",
"text_counter": 244,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, mimi ni mama na ninaumwa na hali yetu. Waheshimiwa wakienda kule wataona hali yetu. Ninataka kupongeza Serikali kwa yale inafanya saa hii. Inafaa msako uhakikishe walanguzi wa dawa za kulevya katika Lamu wameshikwa. Ninataka kumuunga mkono Rais. Inafaa ahakikishe amemaliza dawa za kulevya, ufisadi na alete watu pamoja. Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninaona taa imewaka na dakika zangu zimechukuliwa. Ninaomba nipewe nafasi zaidi."
}