GET /api/v0.1/hansard/entries/896334/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 896334,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896334/?format=api",
"text_counter": 245,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Vifo vingi vinatokea Lamu. Msichana mdogo wa miaka 23 ameuawa kwa kukatwa na panga kwa sababu ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Ninaomba Serikali ihurumie watu wa Lamu kwa sababu tunamalizwa na ulanguzi wa dawa za kulevya. Ninaomba Rais asikie kilio cha watu wa Lamu. Tumeisha, hasa Wabajuni. Kule dawa zimetumaliza. Msichana mdogo na akinamama…"
}