GET /api/v0.1/hansard/entries/896556/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 896556,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896556/?format=api",
"text_counter": 136,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mwatate, ODM",
"speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Kule sehemu za Mwakitau kuna ndovu wengi na akinamama hawawezi kwenda kuchota maji ovyo ovyo kwa sababu wengine wameuawa. Kuna matatizo. Ni vyema wakati Rais anaangazia mambo haya, anaangazie pande zote."
}