GET /api/v0.1/hansard/entries/896558/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896558,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896558/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mwatate, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Andrew Mwadime",
    "speaker": {
        "id": 2451,
        "legal_name": "Andrew Mwadime",
        "slug": "andrew-mwadime"
    },
    "content": "Ni vyema sisi kama Waafrika tuangalie na tuangazie lugha zetu bila kuchukua lugha za watu wengine na kujigamba wakati tunaongea lugha hizi mpaka wengine wanaweka vifua vyao mbele. Kwa kweli, ni lazima tuangazie suala hili. Kwa kweli, mazungumzo ya Rais yalikuwa ya kufana sana kwa sababu aliongea juu ya ufisadi na swala la utangamano ili tuwe kitu kimoja. Ni vyema tuwe kitu kimoja kama mandugu."
}