GET /api/v0.1/hansard/entries/896614/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 896614,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896614/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Ningependa kumwambia Rais kwamba licha ya kuleta uhusiano mzuri katika Afrika Mashariki, kuna changamoto kwa upande wa Migingo. Migingo ikiwa sehemu ya nchi yetu ya Kenya, tunataka tuone Rais akizungumza juu yake. Nikimalizia, ningependa kuongea kuhusu ufisadi. Jana, nilimsikia Mwenyekiti wa Magavana, Mhe. Oparanya, akisema kwamba mitambo ilikuwa imeletwa katika hospitali ya Kakamega lakini hakujulishwa. Wakati walipeleka vifaa hivyo katika hospitali hiyo, walienda wakaambia machifu…"
}