GET /api/v0.1/hansard/entries/896662/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896662,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896662/?format=api",
    "text_counter": 242,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Fafi, KANU",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Abdikhaim",
    "speaker": {
        "id": 13329,
        "legal_name": "Abdikhaim Osman Mohamed",
        "slug": "abdikhaim-osman-mohamed"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Leo nimeamua kuzungumza Kiswahili. Kwanza ningependa kusema pole kwa watu wangu, Waislamu ama ndugu zangu wa Lamu. Hii ni kwa sababu, leo asubuhi, the Leader of theMajority Party, aliongea vibaya sana kuhusu dada yangu ambaye amechaguliwa na watu wa Lamu."
}