GET /api/v0.1/hansard/entries/896664/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 896664,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896664/?format=api",
    "text_counter": 244,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Fafi, KANU",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Abdikhaim",
    "speaker": {
        "id": 13329,
        "legal_name": "Abdikhaim Osman Mohamed",
        "slug": "abdikhaim-osman-mohamed"
    },
    "content": "Kwa hivyo, ninaunga mko Mhe. Rais Uhuru Kenyatta kwa Hotuba yake ndefu ambayo ilikuwa nzuri sana na ilihusu mambo mengi. Ningependa kuongezea mambo ya security . Nimetoka Fafi Constiuency ambayo ni kubwa sana, iko na 17,000 square kilometres. Tuko na wadi mbili ambazo mtu hawezi kuenda. Ukitaka kufika huko lazima uwe na askari iwe usiku au ujifiche. Tuko na shida kubwa ya usalama katika Garissa Kaunti na Fafi Constituency."
}