GET /api/v0.1/hansard/entries/896665/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 896665,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/896665/?format=api",
"text_counter": 245,
"type": "speech",
"speaker_name": "Fafi, KANU",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Abdikhaim",
"speaker": {
"id": 13329,
"legal_name": "Abdikhaim Osman Mohamed",
"slug": "abdikhaim-osman-mohamed"
},
"content": "Ninataka kumwomba Rais, atusaidie kama wananchi wa Garissa Kaunti, kwa sababu tulimpatia kura mia kwa mia. Nimechaguliwa kama Mbunge wa chama cha KANU. Katika Garissa Kaunti tuna waheshimiwa watatu ambao wamechaguliwa kwa chama cha KANU. Lakini tulichagua Rais mmoja. Kama wewe ulikuwa ni wa Jubilee ama KANU tuliomba Rais Uhuru Kenyatta na akasema tuingie kwa hiyo chama na tumpatie support ."
}